Waziri wa Kazi na
Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya
kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori
kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kauli hii imekuja baada ya
madereva wa mabasi yaendayo mikoani pamoja na mabasi yanayofanya kazi ndani ya jiji la Dar es Salaam kugoma huku wakitaka kuongea na viongozi wa juu wa serikalini ili kutatua tatizo lao.
CHANZO: TIMES FM

No comments:
Post a Comment