Basi la kilabu ya fenerbahce nchini Uturuki Shrikisho la
soka nchini Uturuki lilishtumu shambulio hilo
huku katibu mkuu wa klabu hiyo Mahmut Uslu akisema kuwa
kitendo hicho ni cha makosa.
''Tulikuja hapa kucheza soka'', alisema Uslu ambaye alikuwa
katika basi hilo wakati wa shambulio hilo.
No comments:
Post a Comment