Kamanda wa Polisi wa Mkoa
wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari ( hawaonekani
pichani) milipuko hatari aina ya ' Water
explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya msikiti wa
Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment