Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuwatangaza majina ya washiriki wa Tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) jijini Dar.
Mkuu wa Matukio wa Baraza za Sanaa Tanzania (BASATA), Kurwijira Maregesi akiyasoma majina ya wasanii waliongia kwenye vinyang'anyiro vya tuzo za muziki Tanzania mbele ya waandishi wa habari( hawapo pichani), Kutoka kushoto ni Afisa Mkaguzi wa Taarifa kutoka Kampuni ya Auditax International, Pavel Gabriel na kutoka kulia ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro,Bi. Pamela Kikuli.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea kuchuka habari
Akizungumza na waandishi wa habarijijini Dar es Salaam leo, meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi Pamela Kikuli alisema "Academy ilikaa mwishoni mwa wiki iliyopita a kufanya kazi ngumu ya kupatia mapendekezo ya wananchi na hatimae kuteua kwanjia ya kupiga kura, wasanii wa muziki, watunzi wa mashairi ya muzikina watengenezaji wa muziki(Producers) waliofanya kazi nzurina zilizopendwa na kukubalika na wengi mwaka 2013/14"
Katika vinyang'anyiro hivyo ya tuzo za muziki wa Tanzania kwa msanii aliyeingia kwenye sehemu ni nyingi ni Ali Kiba aliyeingia kwenye sehemu Sita huku akifuatiwa na Diamond Platinum ailiyeingia kweye sehemu tano, wakati Belle ( ilie ndoto yake aliyokuwa nayo ya kama asipoingia kwenye tuzo za KTMA atacha muziki sasa yupo na kwenye kategiri ya Mwimbaji bora wa Kiume - Bongo Fleva
MAJINA YA WASANII WANAOSHINDANA KWENYE TUZO ZA MUZIKI TANZANIA.
No comments:
Post a Comment