Mpambano wa Mayweather dhidi ya Pacquiao wa Mei 2 ni wa tano
kati ya mapambano sita kwenye mkataba alioingia na shirika la utangazaji la
Showtime
Mayweather, 38, amesema ile "furaha" haipo tena
kwenye ndondi, na sasa anatazama fani hiyo kama "kazi" tu.
Amesema: "Sifurahii sana kama ilivyokuwa zamani. Pigano
langu la mwisho ni Septemba."
No comments:
Post a Comment