Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zanzibar, Salum Mwalimu akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mchakato wa uchukuaji fomu, uchujaji na
uteuzi wa wagombea ndani ya chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015. Kulia ni
Mkurugenzi wa Bunge na Hakmashauri, John Mrema. (Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment