Manchester United imekubaliana kimsingi na klabu ya PSV Eindhoven kumsajili mshambuliaji raia wa Uholanzi Memphis Depay.
Depay mwenye umri wa miaka 21, alikuwa sehemu ya kikosi cha Van Gaal kilichoshiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.
Msimu huu ameisaidia timu yake kutwaa taji la Eredivise huku yeye akiibuka mfungaji bora baada ya kufunga mabao 21.
Vyombo vya habari nchini uholanzi vimeripoti ya kwamba mchezaji huyo atahama kwa ada ya €30
No comments:
Post a Comment