.Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa kambalage na kumjeruhi mwingine
Hali ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuuwa Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambalage Mwenyeji wa Lugenge.
Mapemba Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya Mauaji Hayo.
Taarifa Zaidi Endelea kufuatilia Mtandao Huu.
No comments:
Post a Comment