Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa mkutano huo wanachama wa CWT ulitarajia kuwachagua viongozi wapya wa chama Hicho.Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete ameahidi kutatua changamoto moto mbalimbali zinazowakabili waalimu nchini(picha na Freddy Maro)
Mfalme wa Morocco Aandaa Dhifa ya Chakula cha Jioni kwa Heshima ya Rais wa
Ufaransa Macron na Mkewe
-
MFALME Mohammed VI wa Morocco, akiwa ameandamana na familia ya kifalme
ikiwemo Mrithi wa Kiti cha Ufalme Moulay El Hassan, Prince Moulay Rachid,
na Malkia...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment