TAZAMA PICHA MAANDALIZI YA PAMBANO KATI YA MAYWEATHER V/S PACQUIAO
"Tarehe
2 Mei 2015 Milango ya MGM Grand itafunguliwa kuanzia saa nane mchana,
ratiba ya matukio mbalimbali yataanza saa tisa kamili mchana. Pambano
litaanza saa mbili kamili usiku (Masaa ya USA) ambapo huku kwetu itakuwa
saa kumi kamili Usiku ,yani tarehe 3 Mei 2015 Jumapili.
Kwa hiyo huku kwetu tutaangalia pambano hili usiku wa kuamkia jumapili (Kuanzia Saa kumi kamili usiku). Ninasubiri mwaliko hapa wadau ili tuangalie mtu fulani akiishangaza dunia.
No comments:
Post a Comment