Watu takribani 12 wamearifiwa kuokolewa kutoka ndani ya nyumba zao baada ya kuzingirwa na maji eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa. Zeozi hili la uokozi limefanywa na kikosi cha zima moto kutoka Ilala pamoja na vijana wa skauti.

Licha ya zoezi hilo kupata mafanikio kwa kuokoa watu wote ambao afya
zao zilikuwa salama vurugu pia zilijitokeza baada ya kundi moja la vijana kupinga zoezi hilo bila ya kuwa na sababu yoyote ya msingi.
zao zilikuwa salama vurugu pia zilijitokeza baada ya kundi moja la vijana kupinga zoezi hilo bila ya kuwa na sababu yoyote ya msingi.
Chanzo: ITV Tanzania
No comments:
Post a Comment