Ashley Young amefunga ndoa na mpenzi wake ambae walikua pamoja tangu wapo watoto shuleni. Young aliwai kughailisha siku mbili kabla ya harusi yao mwaka 2011.Shemeji yetu anaitwa Nicky Pike unaambiwa wawili hawa hawajaanza kupenda wakati Ashley amekua superstar, mapenzi yao yapo tangu kitambo. Harusi yao imehudhuliwa na watu mbalimbali akiwe Fabrice Muamba.
Walimu 1500 wa Mkoa wa Singida wafikiwa na Kliniki ya Samia
-
Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendegu akizungumza na viongozi wa Chama cha
Walimu Tanzania (CWT) mara baada ya kufungua Kliniki ya Samia ya kutatua
chang...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment