Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 19, 2015

GAEL KAKUTA AHAMIA SEVILLA KUTOKA CHELSEA



Miaka minane, na baada ya kucheza kwa mkopo katika timu sita, Gael Kakuta amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kwenda Sevilla ya Spain. Kakuta kutoka Ufaransa alisaini Chelsea mwaka 2007.

No comments:

Post a Comment