Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amelazimika kusimamisha msafara wake kushuhudia ajali iliyotokea eneo la Mtoni kuelekea Bububu. Katika ajali hiyo mpanda vespa (jina halikufamika mara moja) amefariki papo hapo baada ya kugongwa na gari, huku msafara wa Maalim Seif ukikaribia eneo hilo. (Picha na Salmin Said, OMKR).
Uchumi : Benki ya STANBIC Yazindua Maboresho ya Huduma ya "STANBIC Private
Banking " Jijini Mwanza
-
Meneja wa Benki ya Stanbic Tawi la Mwanza, Geofrey Makondo, akizungumza na
baadhi ya wateja wao wa Mkoani Mwanza, katika hafla ya uzinduzi rasmi wa
mab...
22 minutes ago
No comments:
Post a Comment