Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 3, 2015

PICHA ZA 5 MRISHO NGASSA AKILA BATA HOLIDAY NA MPENZI WAKE NDANI YA SOUTH AFRICA

a

f
Mrisho Ngassa amesafiri hadi South Africa na mpenzi wake kwa ajili ya mampumziko. Ngassa anategemea kuweka makazi yake hukohuko pia pale msimu wa 2015/2016 ukianza kwasababu hivi sasa ni mchezaji wa Free State United ya huko huko S.A. Enjoy kuangalia picha 5 za Ngassa na mpenzi wake ndani ya South Africa.
d



f

r

s

w

No comments:

Post a Comment