Mrisho Ngassa amesafiri hadi South Africa na mpenzi wake kwa ajili ya mampumziko. Ngassa anategemea kuweka makazi yake hukohuko pia pale msimu wa 2015/2016 ukianza kwasababu hivi sasa ni mchezaji wa Free State United ya huko huko S.A. Enjoy kuangalia picha 5 za Ngassa na mpenzi wake ndani ya South Africa.
Rais Samia ahutubia Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya
Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry
Party) Ikulu Jijini Dar
-
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party)
Iku...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment