Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 1, 2015

PICHA:::Mh.Mwigulu alivyotangaza nia ya kuwania urais mkoani Dodoma

  Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia mkono baadhi ya wafuasi wake waliojitokeza kwa wingi,kumsikiliza wakati akitamka kutangania nia ya kugombea kiti cha uraui kupitia CCM. 
  Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM

 Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Dodoma  katika moja ya ukumbi wa chuo cha Mipango
Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM

No comments:

Post a Comment