Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 1, 2015

PICHA::UHURU KENYATA ANUNUA CHAPATI NA SODA MTAANI

Rais Uhuru Kenyata baada ya kutembelea mtaani kwenye duka la mama Mulili aliagiza soda na chapati.Akiwa ameongozana na makamu wake Ruto alipomuuliza amnunulie soda alikataa  na kuagiza maziwa,Mama Malili mwenye duka amesema toka rais aje dukani kwake wateja wameongezeka na kampuni ya soda imemuimalishia miundo mbinu baada ya kuagizwa na rais wafanye hivyo.


No comments:

Post a Comment