Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 3, 2015

RAIS KIKWETE ZIARANI FINLAND‏


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Finlad Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo


Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland.
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Finland ya basketball.
Rais Jakaya Kikwete akitoa zawadi ya mchoro wa Tingatinga kwa viongozi wa kampuni ya KONE
Rais Jakaya Kikwete akitembelea bandari ya Helsinki
Rais Kikwete akipata mapokezi Rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment