Familia ya bwana Sebastian Lukas Mgimba ya sinza kumekucha inasikitika kutangaza kifo cha baba Yao mpendwa ndugu Sebastian Lukas Mgimba kilichotokea alhamis 28/5/2015 katika hospital ya kairuki mikocheni Dar es salaam. Mipango ya mazishi Inafanyikia nyumbani kwa marehemu sinza kumekucha. Mwili unatarajia kusafirishwa kwenda Lugarawa Ludewa Njombe jumatatu 1/6/2015.
Habari ziwafikie Familia ya Malyatabu Mgimba iliyopo Lugarawa Ludewa familia ya Philipo Mshengeli Msuya
ya shighatini Mwanga pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
ya shighatini Mwanga pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Misa takatifu pamoja na Kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu zitafanyikannyumbani kwa marehemu Sinza Kumekucha tarehe 1-06-2015 kuanzia saa Sita Mchana
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
No comments:
Post a Comment