Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 30, 2015

ANUARY KAMBA ATUPA KOMBORA CHADEMA BAADA YA LOWASSA KUHAMA CCM

Mara baada ya Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mStaafu Mh Edward Lowassa Kuhamia Chadema Kutokea CCM Watu Mbalimbali wametoa Maoni Mbalimbali kuhusu tukio hilo.Hali ni Tofauti kwa Makada wa Vyama hivi.Hii Kauli nzito Aliyoitoa Mbunge wa Bumbuli na Aliyekuwa Mtangaza nia kugombea Urais Tanzania Mh January Makamba.


No comments:

Post a Comment