Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani
Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa
mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo zingine za
Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment Awards 2015 (UEA)
Platnumz anawania kipengele cha Best African Act akichuana na Wizkid
(Nigeria), Patoranking (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria) na Active
Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Septemba 4, 2015 katika hoteli ya
Munyonyo Commonwealth Resort
(Speke Ball) jijini Kampala, Uganda.
No comments:
Post a Comment