Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Bagamoyo (hawapo pichani)
alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodoma.Dkt
Magufuli amejitambulisha vyema kila alikopita na kupokelewa kwa kishindo
katika mikoa na vitongoji vyake aliyopita ikiwemo jijini
Mwanza,Geita,dodoma,Morogoro,Pwani na jiji la Dar kwa ujumla.
Wakazzi
wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha
kwao na kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea,alipokuwa akitoka
mkoani Dodoma kurejea jijini Dar jana jioni.
Baadhi
ya Wakazi wa Mji wa Chalinze wakimsikiliza Mteule wa Chama cha
Mapinduzi CCM kwa nafasi ya Urais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.
John Pombe Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru na
kujitambulisha kwa Wananchi wa Chalinze alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Aliyekuwa
Mbunge wa jimbo la Chalinze,ambaye anawania tena nafasi ya Ubunge
katika jimbo hilo Mh.Ridhiwani Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Chalinze
na kumkaribisha Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru Wananchi wa Chalinze (hawapo
pichani) pamoja na kujitambulisha kwao alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakazi wa Mji wa Chalinze wakimshangilia kwa mayowe Mteule wa
Chama cha Mapinduzi CCM kwa nafasi ya Urais ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt.
John Pombe Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru na
kujitambulisha kwa Wananchi wa Chalinze alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze,ambaye anawania tena nafasi ya
Ubunge katika jimbo hilo Mh.Ridhiwani Kikwete pamoja na Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli wakifurahia jambo mjini Bagamoyo,aliposimama mjini hapo
kujitambulisha na kuwashukuru kwa kujitokeza kwao kwa wingi
kumpokea,alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani
Dodoma.
Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo
Wananchi wakimshangilia Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijitambulisha kwao hapo jana mjini Bagamoyo.
PICHA NA MICHUZI JR
No comments:
Post a Comment