skip to main |
skip to sidebar
MKOREA AONDOLEWA KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA,NYERERE ABAKI PEKE YAKE
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)MUSOMA MJINI,KIMEMUONDOA KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MUSOMA MJINI KUPITIA CHAMA HICHO,ELIUD TONGORA,MAARUFU MAARUFU KWA JINA LA MKOREA AKIDAIWA KUKIUKA KATIBA YA CHAMA HICHO KWA KUPELEKEA MAHAKAMANI MASUALA YA CHAMA HIVYO KUBAKIA JINA PEKEE LA VICENT NYERERE KAMA MGOMBEA PEKEE ANAYEOMBA NAFASI HIYO KUPITIA CHADEMA
MEYA KISURURA AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA UCHAGUZI UNAOENDELEA MUDA HUU KWENYE UKUMBI WA CHUO KIKUU HURIA MJINI MUSOMA
WAJUMBE WA MKUTANO WAKIFATILIA
MWENYEKITI WA CHADEMA MUSOMA MJINI,CHARLES KAYELE AKIFUNGUA MKUTANO
SEHEMU YA WAJUMBE WA MKUTANO
HAPA NI WAKATI MKOREA AKICHUKUA FOMU KWA KATIBU WA WILAYA AMABYE SAFARI YAKE YA KUOMBA UBUNGE KUPITIA CHAMA HICHO IMEZIMIKA BAADA YA KUENGULIWA KUGOMBEA
No comments:
Post a Comment