ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA VIJANA (CCM)ESTER
BULAYA,AMEPOKEWA NA MELFU YA WAKAZI WA BUNDA
BAADA YA KUKIHAMA CHAMA HICHO NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA
MENDELEO CHADEMA NA KUDAI TAYARI AMECHUKUA NA KURUDISHA FOMU KWAAJILI YA KUWANI
UBUNGE WA JIMBO LA BUNDA MJINI KUPITIA CHAMA HICHO NA KUAHIDI KUSHIRIKIANA NA
WANANCHI KULETA MABADILIKO YA KIUCHUMI KWA WANANCHI BILA KUJALI ITIKADI YA
VYAMA NA KUSISITIZA HATAWEZA KUWAANGUSHA WANA BUNDA NA WATANZANIA WOTE.
BULAYA AKIPOKELEWA NJE KIDOGO YA MJI WA BUNDA
MTANGAZAJI WA REDIO FREE AFRIKA,FEDRICK BUNDARA,AMBAYE AMETANGAZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO JIPYA LA USHETU NAYE PIA ALIKUWEPO
LEMBELI AKIKALIBISHWA BUNDA
HAMASA YA MAPOKEZI
BULAYA AKIJIANDAA KUSHUKA KUINGIA VIWANJA VYA STEND YA ZAMANI BUNDA
KARIBU
WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO WA CHADEMA
MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA MARA,VICENT NYERERE AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO HUO
BULAYA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI
BULAYA AKIWA NA HALIMA MDEE MWENYEKITI WA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA TAIFA(BAWACHA) PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE
NYERERE AKIMKAARIBISHA MDEE KUZUNGUMZA
|
No comments:
Post a Comment