Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea,
Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana kwao.
Kwake Nuhu naye ameweka wazi kuwa zilipendwa na kusema wameachana kwa wema lakini anashangaa kuona Shilole akileta maneno mengi zaidi.
Wasikilize hapa.
No comments:
Post a Comment