Tahadhari: Ujambazi wa kutumia nguvu na silaha wachukua kasi Changanyikeni
Wadau Eneo la Changanyikeni Kwa Karibu Mwezi Mzima Sasa limegubikwa na Ujambazi.
Wezi hao huvamia majumbani Mapema Sana kuanzia saa 2 za usiku watu
wakiwa bado hawajalala. Kinachosikitisha wanavamia na silaha za moto na
hakuna cha maana wanachoiba zaidi ya laptop,Simu na visenti vya Mboga.
No comments:
Post a Comment