TAZAMA VIDEO::BANZA STONE AWASHANGAA WANAO MZUSHIA KIFO
Mwimbaji wa mkongwe kwenye muziki wa dance Tanzania Banza Stone alikutana na Waandishi wa habari wachache kwa ajili ya kukanusha taarifa za kuzushiwa kifo, maisha yake kwa sasa na kilichokua kinamsumbua kiafya.
No comments:
Post a Comment