Mwaka 2015 ni mwaka wa historia kwa Nchi yetu Tanzania.Yapo Mambo mengi yamefanyika ndani ya mwaka huu.Gumzo Kubwa ni Siasa za Tanzania.Mwezi October Mwaka Huu Tanzania Tutafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mchakato unaoendelea ni uteuz ndani ya
Vyma vya siasa kuelekea Uchaguzi huo.Kada wa CCM Mh Edward Lowassa amekuwa Gumzo mara baada ya kuenguliwa kupeperusha Bendera ya CCM Mwaka huu.Na Tetesi za yeye kuhamia Chadema zimeshika hatamu.Mara baada ya Jana kukaribishwa na vyama vya uoinzani kupitia Umoja wao ukawa leo Rais Kikwete Ali Tweet .,Na Hii ndio tweet yake

No comments:
Post a Comment