Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 22, 2015

VIDEO: RAHEEM STERLING APATWA NA BALAA LICHA YA KUIFUNGIA MAN CITY IKISHINDA DHIDI YA ROMA KWA MATUTA

2AB7CDB100000578-0-image-a-38_1437479482714
Raheem Sterling leo amefunga goli lake la kwanza ndani ya dakika tatu akiichezea Manchester City dhidi ya AS Roma.
Man City wameshinda kwa penalti 5-4 baada ya kutoka sare ya magoli 2-2.
The England youngster loses his balance in comical fashion after receiving a pass from one of his Manchester City team-mates
Ulikuwa mtihani mkubwa kwa Sterling kuwathibitishia Manchester City kwanini wamelipa paundi milioni 49 kumsajili kutoka Liverpool majira haya ya kiangazi na kwa dakika chache alizocheza amejitahidi kuonesha ufundi.


Despite taking a tumble early on in his debut, Sterling dusted himself off and opened his Manchester City goal account within minutes
Moja ya stori kubwa ni Sterling kuanguka mwenyewe baada ya kukanyaga juu ya mpira akijaribu kukokota ii amtoke beki wa Roma, Alessandro Florenzi.
Mashabiki wa Roma waliokuwa wanamzomea wameonekana kushangulia tukio hilo

Tazama Jinsi Sterling alivyoanza kukipiga Man City

No comments:

Post a Comment