Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 4, 2015

Ali Kiba anasema hapa wimbo na Fally Ipupa upo na ni mzuri sana.tazama mahojiano yake.

kibaa
Star wa bongo fleva Ali Kiba amethibitisha kuwa collabo na mkongo Fally Ipupa imesharekodiwa na iko tayari ila itatoka kama Surprise kwa mashabiki wake.
Kwenye mahojiano haya Kiba pia amethibitisha kuwa collabi na Davido imefikia pazuri na muda wowote utaisikia kwenye radio yako.

No comments:

Post a Comment