Arusha express yenye namba
za usajili T 165 AGB inayofanya safari za mbeya arusha kupitia njia ya
dodoma ambayo imepata ajali katika kijiji cha Imezu mkoa wa Mbeya majira
ya saa moja
asubuhi tarehe 22 mwezi wa nane mwaka 2015. baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa majeruhi ni watu 9. Ambapo chanzo cha ajali ni mwendokasi.-
asubuhi tarehe 22 mwezi wa nane mwaka 2015. baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa majeruhi ni watu 9. Ambapo chanzo cha ajali ni mwendokasi.-
No comments:
Post a Comment