Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz
ambaye ameshakamilisha collabo yake na Neyo kutoka Marekani ametajwa
kuwania tuzo za African Youth Choice Za Nigeria kwenye vipengele viwili
ambavyo ni. Msanii wa Mwaka na Msanii bora wa kiume.
Wanafunzi waliopata Division One St Mary’s wajazwa noti
-
Na Mwandishi Wetu
WANAFUNZI 30 wa shule ya St Mary’s Mbezi waliopata daraja la kwanza kwenye
matokeo ya kidato cha nne mwaka huu wamepewa zawadi mba...
41 minutes ago
No comments:
Post a Comment