Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz
ambaye ameshakamilisha collabo yake na Neyo kutoka Marekani ametajwa
kuwania tuzo za African Youth Choice Za Nigeria kwenye vipengele viwili
ambavyo ni. Msanii wa Mwaka na Msanii bora wa kiume.
Serikali yaanzisha Uchunguzi Hospitali ya Temeke, Tuhuma za Rushwa
zachunguzwa
-
Dodoma Desemba 26, 2025: Serikali imeanzisha uchunguzi wa kina kuhusu
mwenendo wa utoaji wa huduma katika Hospitali ya Temeke, ikiwemo kuzimwa
kwa mashine...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment