Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 17, 2015

KALAPINA WA KIKOSI CHA MIZINGA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KINONDONI KWA TIKETI ACT WAZALENDO!

Msanii wa muziki  wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Bibi Ikunda Lyimo siku ya Ijumaa jioni. Kala Pina aligombea udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo alishindwa na mgombea 

Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki.
 Akiwa ameambatana na wapambe wake waliokuwa wamepanda bodaboda

 
Akisalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment