Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa, Akizungumza na wananchi pamoja na wafuasi wa chama hicho Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG.
Wananchi wakiwemo wafuasi wa Chama hicho wakionyesha juu Mikono wakiwa wanaonyesha vidole juu
Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe (kulia) akiwa juu ya Gari akiwasalim wanachama wa Chama hicho alipokuwa akiwasili viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza na kushoto ni aliyewa Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) aliye timkia Chadema.
Lowassa akiwapungia mkono wananchi na wafuasi wa Chama hicho alipokuwa akiingia katika viwanja vya Furahisha, Kirumba Jijini Mwanza
Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wake
Viongozi wa Chama hicho wakiwa wamesimama wakati walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa
Lowassa wakiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama hicho
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiteta jambo na Lowassa katika viwanja vya Furahisha
Askari wa Jeshi la Polisi walipata wakati mgumu wakihakikisha usalama unakuwepo katika maeneo hayo
Walinzi wa Lowassa wakihakikisha usalama unakuwepo katika Gari la Kiongozi huyo na wengine wakitaka wampe mikono na wakatumia kamba.
Mapacha waungana
Mikono wa wafuasi hao wakipunga mikono
Wengi wajitokeza mapokezi ya Lowassa
Kabla hajafika Kiongozi huyo katika viwanja vya Furahisha
Sehemu ya uwafuasi na wanachama
No comments:
Post a Comment