Pages

Thursday, August 6, 2015

MPIGA PICHA WA GAZETI LA UHURU AJERUHIWA VIBAYA KATIKA KIKAO CHA CUF JIJINI DAR

Mpiga Picha wa Gazeti la Uhuru Emmanuel Ndege akisaidiwa na waandishi wenzake mara baada ya kujeruhiwa na feni wakati waandishi hao wakisubiri Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba kuzungumza nao katika makao makuu ya chama hicho Buguruni.

No comments:

Post a Comment