Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:
Stephen Wasira 6, 429
Robert Maboto 6, 206
Christopher Sanya 1, 140
Xavier Rugina 846
Simon Odunga 547
Magesa Mugeta 446
Peres Magiri 385
Brian Baraka 263
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini.
No comments:
Post a Comment