Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza
kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo
na kuhudhriwa na maelfu ya watu.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Ludewa,aliyepita bila kupingwa Mh Deo Filikunjombe
,akisoma ilani ya CCM aliyokabidhiwa na Mgombea Urais wa CCM Dkt
Magufuli,wakati alipokuwa akihutubia wananchi wa kijiji cha Mlangali
wilayani Ludewa
Wananchi
wa mji wa Ludewa wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa mpira mjini
Ludewa wakimshangilia mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Msafara
wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ukiwa umezuiwa na
Wananchi wa kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa huku wakishangilia na
kuimba "JEMBE LA KAZI LIMEINGIA",ambapo Magufuli akiwa ameambatana na
Mbunge wa jimbo hilo la Ludewa,Mh Deo Filikunjombe walisimama na
kuzungumza na wananchi hao ikiwemo pia kuwaomba kura za kutosha ili
wapate ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya walemavu
waliokuwa wamefika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni kumsikiliza
sera zake,Dkt Magufulia alieleza kuwa katika Ilani ya CCM,kwa awamu ya
tano itawajali walemavu na kuwapa vipau mbele hasa katika masuala ya
elimu,ya kijamii pamoja na kuwawezesha kiuchumi ili waweze kujishulisha
vyema katika maisha yao ya kila siku
Wananchi
wa jimbo jipya la Madaba wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM
Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia jukwaani kwenye mkutano
wa hadhara wa kampeni.
Wananchi
wa Mlangali wilayani Ludewa wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye
mkutano wa hdahara wa kampeni,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli aliwahutubia.
Mmoja
wa wakazi wa mji wa Ludewa akiwa na bendera yake,huku akimisikiliza
mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwaomba ridhaa ya
kuwaongoza katika awamu ya tano kwa nafasi ya Urais.
Msafara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ukiwasili wilayani Ludewa kutoka mkoani Njombe.
Ngoma ya asili kutoka Ludewa ilipokuwa ikitumbuiza uwanjani hapo
Wananchi wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara wa kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza
kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo
na kuhudhriwa na maelfu ya watu.
Baadhi ya Wafuasi wa chama cha CCM wakielekea kwenye uwanja wa mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Madaba.
Wananchi
wa jimbo jipya la Madaba wakishangilia ujio wa mgombea Urais wa CCM Dkt
John Pombe Magufuli.alipokuwa akipanda jukwaani kuwahutubia kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni
Gari ya Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa,Mh Deo Filikunjombe katika ubora wake
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa amezuiwa na Wananchi wa
kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa,ambapo Magufuli akiwa ameambatana na
Mbunge wa jimbo hilo la Ludewa,Mh Deo Filikunjombe (hayupo
pichani),waliwaomba wananchi hao ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya
tano
Wanamsikiliza Mgombea Urais Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita kuelekea wilayani Ludewa kuwahutubia wananchi
Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Lugalawa wakiwa wamefunga njia wakitaka
kumuona mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli na pia kumtaka awasalimie na
kuwasikiliza kero walizonazo ili akipata ridhaa ya kuiongoza Tanzania
katika awamu ijayo ya miaka mitano awasaidie
Baadhi
ya Wananchi wa kijiji cha Lugalawa wilayani Ludewa wakimsikiliza
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,aliposimama kuwasalimia na
kuwaeleza kuwa anaomba kura zao za kutosha katika kumuwezesha kuiongoza
Tanzania katika awamu ya tano.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa Mh Deo Filikunjombe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mlangali wiliayani Ludewa.
Wananchi wa kijiji cha MLangali wakishangilia jambo
Picha Na Michuzi
No comments:
Post a Comment