Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 5, 2015

UJUMBE MZITO TOKA KWA MDAU KWENDA KWA DK SLAA

Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia KATIBU mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana. Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata 
katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha


 kwa namna alivyo amua kufanya.Naomba nitumie fursa hii kumuomba mh:Dr Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.

No comments:

Post a Comment