Pages

Wednesday, September 2, 2015

HII NDIO ZAWADI ALIYOPEWA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ


Haya ndiyo maneno aliyoandika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy 


 
Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

No comments:

Post a Comment