Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 11, 2015

HUYU NDIYE MUFTI MPYA WA TANZANIA,BAADA YA KIKAO CHA BAKWATA

Aliyekuwa mmoja wa wajumbe wa Baraza kuu la Ulamaa BAKWATA, Sheikh Abubakar Zuberi, amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Waislamu Tanzania (MUFTI) kufuatia kifo cha aliyekuwa Mufti Mkuu, Sheikh Idd Shaaban Simba.. Kabla ya uchaguzi huo, Sheikh Abubakary Zubeir, alikuwa Kaimu Mufti wa Tanzania kwa kipindi cha mpito.

No comments:

Post a Comment