Mwigizaji maarufu,
Kingwendu amenusurika kifo baada ya ajali mbaya ya gari iliyotokea jana Wilayani
Kisarawe.
Kingwendu
amekumbana na ajali hiyo akiwa katika kampeni zake za kuwania ubunge katika
Jimbo la Kisarawe.
Mwigizaji huyo
anawania nafasi hiyo kupitia Chama cha Wananchi (CUF) na kampeni zake zimekuwa
zikipamba moto.
Msemaji wa
Kingwendu, Msanii mwingine, King Sapeto amesema aliyeumia ni mtu mmoja tu
aliyeumia anajulikana kwa jina la Big.
“Big ndiye pekee
aliyepata majeraha,” alisema King Sapeto bila ya kutoa maelezo zaidi.
KING SAPETO (KUSHOTO) AKIWA NA KINGWENDU KATIKA MOJA YA KAMPENI. |
SIKU KINGWENDU ALIPOCHUKUA FOMU |
No comments:
Post a Comment