Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 10, 2015

September 18 msanii 2 Face Idibia anafikisha miaka 40,kiko hapa atakachofanya kwenye birthday yake.

2face
Muimbaji kutoka Nigeria 2Face Idibia anafikisha miaka 40 tarehe 18 September 2015 na msanii huyu ametayarisha show kubwa kwaajili ya mashabiki wake.
Show hii ya birthday ya 2 Face imepewa jina ‘All-Star Tribute Concert’ na show itafanyika Eko Hotel Convention Center  jumapili ya September 20, 2015.
2 face

No comments:

Post a Comment