Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 4, 2015

WAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA ZA MAKOSA YA MITANDAO


 Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akizunzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao, ambapo sheria hii itatumia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melkizdeck Karol akiwaelimisha waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usalama wa sheria za mitandao wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati.
 Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akimsikiliza waandishi wa habari wakichangia mada kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.

 
 Wanahabari wakimsilikiza kwa makini Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigatiwakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment