Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za
misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jijini Dar
Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo
kuhusu ForumCC kwenye semina na wadau wa mazingira waliofika kujadili
changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira hapa
nchini na nje ya nchi
Judy Ndichu ambaye ni mjumbe wa mazingira kutoka nchini Kenya akitoa somo kwa washiriki wa semina hiyo kuhusu changamoto zinazopatikana kwenye bajeti zinazotolewa kwenye mabadiliko ya tabianchi
Wajumbe wakifuatilia kinachoendelea kwenye mkutano huo
Picha ya Pamoja
No comments:
Post a Comment