Leo ni Leo Mwanza... maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu wamejitokeza kwenda CCM Kirumba jijini Mwanza kuhudhuria mkutano wa kufunga kampeni leo Oktoba 24, 2015.
Kila mmoja akijikaza kujongea CCM Kirumba, Mwanza.
Akina mama nao wamo.....
Vijana wamehamasika kweli kweli....
Leo hapakaliki...
DC SAME AAGIZA KUKAMATWA KWA WAHUSIKA WALIOWAPA MIMBA WANAFUNZI WANNE WA
SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI.
-
Na WILLIUM PAUL, SAME.
KUFUATIA taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi
na sekondari katika kata za Kalemawe na Bendera, Mkuu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment