Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimskiliza mgeni rasmi katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika uwanja wa mpira wa Dimani.
SAFIRI ZAIDI, LIPA KIDOGO: DUBAI NA JOHANNESBURG KWA AIR TANZANIA
-
30 Oktoba 2024, Dar es Salaam.
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya “Safiri Zaidi, Lipa
Kidogo” kwa abiria wake wanaosafiri kati ya Zanzibar ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment