Pages

Sunday, October 18, 2015

HUZUNI :: PICHA ZA ASKARI WA ISRAELI ALIYEJERUHIWA VIBAYA NA MPALESTINA KWA KISU

Mwanaume Mpalestina (mwenye jaketi la njano) mjini Jerusalem akimshambulia polisi wa Israel kwa kisu.

...Akiendelea kumchoma kwa kisu polisi.

Polisi wakimuokoa mwenzao katikati baada ya kuchomwa kisu na mwanaume huyo.


polisi wakiwa na mwanaume huyo baada ya kumpiga risasi.
 


Polisi wakiendelea kumsadia mwenzao baada ya kumuuwa mwanaume huyo (aliyelala kushoto).

POLISI  wa Israeli wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanaume Mpalestina mjini Jerusalem baada ya kuwashambulia.

Waziri wa Nchi za Nje, Marekani, John Kerry amewapigia simu Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu pamoja na Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas na kuwataka kuleta utulivu.

Chanzo: Daily Mail.

No comments:

Post a Comment