Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Sengerema, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza Oktoba 15, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chadema, Hamis Tabasamu,
katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani,
Sengerema, Jijini Mwanza Oktoba 15, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akitoa somo la namna ya kupiga kura kwa wananchi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Jimbo la Magu, Mkoani Simiyu Oktoba 15, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza Oktoba 15, 2015.
No comments:
Post a Comment